East Africa Televisheni pamoja na east africa radio waanakuletea Fainali ya mashindano makubwa ya kucheza Dance 100 nchini Tanzania yatakayorindima jumamosi hii katika viwanja vya Donboscow Osterbay jijini Dar es Salaam.
Mashindano hayo ambayo yamedhaminiwa na mtandao wa simu za mkononi Vodacom, yatakutanisha makundi matano yaliyoingia kwenye Fainali mshindi ataondoka na Mil. 5 na hayana kiingilio
tazama picha za mashidano hayo yanavyokuwa.
![]() |
wavijna wakifanya yao |
![]() |
vijana wakiwajibika |
![]() |
kibanda cha majaji |
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine