 |
akiwa na mtangazaji wa taarab east africa radio |
Diamond Platnumz alipokuja kutambulisha wimbo wake mpya wa ntampata wapi
ilikuwa ndani ya Powerjam ya Anna Peter, Sam Misago na Mami katika
kituo chenye hadhi hapa naizungumzia east africa radio, To be Honest
namkubali saaaaaana mwenyewe anajua kila la kheri kaka.
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine