![]() |
akiwa na mtangazaji wa taarab east africa radio |
Tuesday, November 25, 2014
DIAMOND PLATNUMZ - HAJISKII WALA HAJISHAUWI HATA MWANANYAMALA WANALIJUA JILO
Thursday, October 2, 2014
PICHA ZA MATUKIO DANCE 100 HATUA ZA AWALI 2014
Tuesday, September 30, 2014
NYUMBANI KWA ISHA TUKIJIANDAA KWENDA KWENYE SINGO
tukijiandaa kwenda kwenye Singo Tabatanyumbani kwa Mc Jojo wari wake mtoto wa Sizya Maongela na Mtoto wa Maamaa macheni
#2014 DANCE MIA FAINALI JUMAMOSI HII
Na Mwanne Othman
East Africa Televisheni pamoja na east africa radio waanakuletea Fainali ya mashindano makubwa ya kucheza Dance 100 nchini Tanzania yatakayorindima jumamosi hii katika viwanja vya Donboscow Osterbay jijini Dar es Salaam.
Mashindano hayo ambayo yamedhaminiwa na mtandao wa simu za mkononi Vodacom, yatakutanisha makundi matano yaliyoingia kwenye Fainali mshindi ataondoka na Mil. 5 na hayana kiingilio
tazama picha za mashidano hayo yanavyokuwa.

wavijna wakifanya yao |
![]() |
vijana wakiwajibika |
![]() |
kibanda cha majaji |
Subscribe to:
Posts (Atom)