MAJARIBIO BLOG

Friday, August 3, 2012

 Malkia wa mipasho Afrika Mashariki na Kati, Khadija Omar Kopa anatarajia kuachia vidio yake mpya Mjini chuo Kikuu, itakayokuwa katika mandhari pekee kwani moja sehemu aliposhutia wimbo huo ni katika eneno lenye pirika za watu K'koo mtaa wa Kongo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine