MAJARIBIO BLOG

Friday, August 3, 2012

TAM TAM ZA MWAMBAO: kwa utamu wa matashtit yenye darja la halele la sikiliza 87.8 East Africa Radio kupitia kipindi chake hicho adhwimu kinacho endeshwa na mwanadada machachari mwa4 bint Othman toto la Matashtit, ni kila siku ya Jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka 6 mchana.

Toto la matashtit umelionaaa? ndii hilo bibiii

No comments:

Post a Comment

Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine