MAJARIBIO BLOG

Tuesday, January 1, 2013

MSANII SAJUKI AFARIKI DUNIA

Msanii wa tasnia ya filamu nchini Juma Kilowoko maarufu kama Sajuki afariki Duania asubuhi ya leo katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.kwa mujibu wa east africa radio ya 88.1 fm,  msanii huyo ambaye alikuwa akisumbuliwa na matatizo uikiwamo ya figo zake kushindwa kufanya kazi ipasavyo, uvimbe alifariki dunia asubuh ya leo katika hospitali hiyo ambapo ndipo alipokuwa amelazwa.

Sajuki akiwa nyumbani kwake  na Mkewe Wastara Juma

No comments:

Post a Comment

Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine