MAJARIBIO BLOG

Friday, December 14, 2012

AT AJA NA MDUARA NMPYA




Msanii nguli katika tasnia ya mduara Ally Tol aka AT, amesema anatarajia kufanya mduara matata anaotarajia kuuwachia mwanzoni mwaka 2013.

AT aliyasema hayo hivi karibuni alipokuwa akipiga stori  kwa njia simu na mtangazaji wa kipindi chaa taarab east africa radio. 

alisemaa mduara huo utakuwa ni moto wa kuotea mbali kwakuwa anatarajia kumshirika mwimbaji nguli ambaye pia ni Mkururgenzi wa kundi la taraab la Jahazi Mfalme Mzee Yussuf.

Hivyo AT aliwataka mashabiki wasubiri kwa hamu uhondo huo utakaowapa kitu roho inapenda.

No comments:

Post a Comment

Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine