MAJARIBIO BLOG

Wednesday, February 13, 2013

5STARS KUPELEKWA SHARKS COMPANY


 
Kundi la muziki wa taarab la 5stars hatimaye limepata mdhamini mpya anakwenda kwa jina la Sharks aliyedhattiti kuja kufanya mapinduzi katika tasnia ya muziki huu wa huo imefahamika.
akizungumza na Tam tam za Mwambao Rais wa kundi hilo Ally J alisema kuwa tayari wameshazungumza na baadhi ya wasanii kwa ajili ya kuingia nao mkataba wa kufanya kazi katika bendi hiyo.

alisema wapenzi wakae mkao wa kula kwani muda si kutoka sasa wanatarajia kuingia kambinin kwenda kuipika albam yao mpya inayotarajiwa kuwa navibao vikali vitakavyobamba mashabiki wa tasnia hiyo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine