MAJARIBIO BLOG

Wednesday, February 13, 2013

MSANII TMK HALISI AFARIKI DUNIA

Msanii kundi la muziki la TMK Wanaume halise lenye maskani yake Temeke aliyejulikana kwa jina la BK, afariki dunia.

kwa mujibu  wa kipindi cha  powerjams kinchorushwa east africa radio BK aling'ara kupitia wimbo wa Ndege tunduni na Tatu bila.


Msanii BK mwenye kofia akishooo love enzi za uhai wake, Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine