MAJARIBIO BLOG

Friday, August 16, 2013

Sikudhani Ally ndani ya Mduara wa Tam Tam za Mwambao Jumapili hii

Mwimbaji wa kundi la Dar es salaam Morden Taarab Sikudhani Ally Jumapili hii atakuwepo katika kipindi cha Tam Tam za Mwambao katika kipengele chake cha Mduara kwa ajili kutaka kufahamu undani wake hasa kuhusiana masuala ya taarab. Sikudhali Ally mwenye sifa ya kuwa mvumilivu ambapo toka aingie katika kundi hilo hakuwa kuhama hata siku moja, ambapo wimbo wake wa kwanza kuimba katika kundi hilo ni Vijimambo ulompatia Umaarufu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine