MAJARIBIO BLOG

Wednesday, August 14, 2013

VIDEO YA MKE NA MUME HII HAPAhAMER

hamer Q na Salha wakiwa katika pozi siku waliyofunga pingu za maisha
Waimbaji wa taarab ambao ni mke na mume Hammer Q ambaye ni mwimbaji wa kundi la 5stars na Salha Abdallah mwimbaji wa kundi la Kings tayari wameshakamilisha video ya wimbo wao unaokwenda kwa jina la Tunapendana.

Kwa mujibu wa Hammer Q aliiambia blog hii kuwa hivi punde wapenzi watarajie kupata utamu wa video yao hiyo itakayokuwa moto wa kuptea mbali.

"Hutochoka kuitazama kila inapomalizika ndipo utamu unaongezeka, so wapenzi wa taarab tunaomba waipokee video yetu kwa mikono miwili na nyingine pia zitakuja" alisema Hamer Q
.

No comments:

Post a Comment

Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine