NA MWANNE OTHMAN
MWIMBAJI WA TAARAB NA
MTANGAJI WA TAARAB KATKA RADIO MOJA HAPA JIJINI DAR ES SALAAM
NYAWANA ISSALE FUNDIKIRA ALIYEFARIKI JANA MCHANA NYUMBANI KWAKE
MWANANYAMALA B, ATASAFIRISHWA LEO MAJIRA YA SAA 11 JIONI KUELEKEA
KIJIJI CHA ITETEME MKOANI TABORA TAYARI KWA MAZISHI.
![]() |
NYAWANA ENZI ZA UHAI WAKE |
KWA MUJIBU WA MUME WA
MAREHEMU BW: KAIS MUSA ALISEMA MAREHEMU NYAWANA ALIFARIKI DUNIA JANA
KWA UGONJWA WA MALARIA NA UPUNGUFU WA DAMU MWILINI, NA ATAZIKWA
KESHO JUMATANO MAJIRA YA SAA 7 MCHANA HUKO TABORA
NYAWANA ALIWAHI KITAMBA NA
VIBAO VIBAO VYAKE KAMA NIPO KAMILI NIMEJIPANGA, BEHIND THE SCINE NA
SHETANI KATAJA JINA ALIYOIACHIA HIVI KARIBUNI.
MAREHEMU AMEACHA WATOTO
WAWILI WA KIKE NA WAKIUME AMBA NI QEEN NA SAID
MUNGU AIWEKE ROHO YA
MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine