MAJARIBIO BLOG

Wednesday, December 18, 2013

HASSAN ALLY KUFUNGU KUHUSU KUITWA SHOGA

Mwimbaji wa Muziki wa Taarab Hassan Ally hatimaye afunguka kuhusiana na yeye kuitwa shoga na wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama Machinga waliopo Kariakoo, kitendo ambacho kilisababisha vurugu za hapa na pale kutokea. Wiki mbili zilizopita.

Kwa taarifa zaidi sikiliza Tam Tam za Mwambao na Mwanne Bint Othman Jumapili hii ya tarehe 22 kuanzia saa 4 asb hadi 6 mchana east Africa Radio Together Tunawakilisha

Hassan Ally akiwa Studio akirikod wakati akiwa na kundi la Tanzania Moto Morden Taarab chini ya Ukurugenzi wake Amini Salmini
 

No comments:

Post a Comment

Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine