![]() |
Mh. Diwani wa Ubungo mwenye suti nyeusi akiwa na mmoja wa waombolezaji |
![]() |
gari lenye mwili wa marehemu ukiwasili |
![]() |
Mke wa warehemu ADAM, Mh. Janeh Rite wa Kunduchi mwenye mtandio mwekundu |
![]() |
Dokii na waombolezaji wengine wakilia kwa uchungu |
![]() |
Batuli na Johari wakilia kwa masikitiko makubwaa |
![]() |
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Mh.Fenera Mkangara akizungumza kwenye maombolezo hayo |
![]() |
Hapa akikisitiza jambo |
![]() |
Mstahiki Meya wa Kinondoni Yussuf Mwenda nae akinena jambo |
![]() |
Hapa wakijiandaa kuaga mwili wa marehemu |
![]() |
Hapa tayari kwa kuagwa |
![]() |
Mh. Waziri Fenera Akiaga mwili wa marehem |
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine