MAJARIBIO BLOG

Tuesday, September 30, 2014

Na Mwanne Othman

Wakali wao Morden taradance jana wameendelea na shooting ya albam yao ya kalieni viti sio umbea inayotarajiwa kukamilika hivi karibuni na kuonekana katika televisheni mbalimbali.

Akizungumza jana Mkurugenzi wa kundi hilo Thabit Abdul alipokutana na mtangazaji wa kipindi cha Tam Tam za Mwambao kinachorushwa na east africa radio Mwanne Othman wakati kundi hilo lilipokuwa likitokea eneo wanaloshuti video hiyo huko Kiluvya amesema watanzania wakae mkao wa kula kwani itakuwa video ya kufa mtu.

Thabit Abdul amesema video hiyo iliyoshutiwa kwa kiwango cha kamera ya hali ya juu ya HD anaamini haitomkifu mtu pindi atakapokuwa akiitazama.

Pata picha wakati wakali wao wakiwa eneo la shootimg kwenye hotel moja huko Kiluvya.


No comments:

Post a Comment

Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine