Na Mwanne Othman
Wajumbe wa Bunge maalum la
Katiba linaloendelea mjini Dodoma bado wanaendelea kuipigia kura
rasimu ya katiba mpya, zoezi lililoanza jana kwa kupigia kura sura 19
zenye Ibara 289 ambapo walianza kwa kupigia kura sura 10 zenye ibara
157 huku leo wakimalizia sura 9 zenye ibara kuanzia 158 hadi 289, kwa
kutumia mtindo wa kura ya wazi na siri.
![]() |
WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA WALIOKO MJIN I DODOMA |
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine