![]() |
Baadhi ya wasanii wa Jahazi waliohudhuria katika Msiba wa Juma Mgunda |
m
![]() |
Mpiga base wa Jahazi Musa Baba Warda kushoto akiwa na ndugu wa marehemu Juma, anayejulikana kama Mgeni Kisoda ambaye pia ni mpiga Kinanda wam Jahazi |
![]() |
Mpiga Kinanda wa Jahazi Babuali mwenye fulana nyeusi |
![]() |
Mpiga kinanda Mkuu wa Jahazi Chid Boy |
![]() |
Msani wa Maigizo Bi Rehema naye alikuwepo |
![]() |
Mtoto wa kwanza wa Marehemu anaitwa Sharkan Juma Mgunda |
![]() |
Mtoto wa pili na wa mwisho wa marehemu anaitwa Shadrak Juma Mgunda |
![]() |
Mpiga Base maarufu Musa Mipango |
![]() |
Mtangazaji wa Kipindi cha Taarab cha Tam Tam za Mwambao cha east africa Radio na EATV Mwanne Othman akimuhoji mpiga kinanda namba moja wa Jahazi Chid Boy |
![]() |
Muimbaji wa Jahazi Rahma Machupa |
![]() |
wapiga base hawa watu wengi wana wachanganya majina yao wote wanapiga base Jahazi kushoto ni Musa base Babaa Warda na kulia ni Musa Base Babaa Salum |
Mwili wa marehemu ukiwa ndani ya sanduku tayari kwa kusafirishwa Mkamba huku wakijiandaa kuuswalia
![]() |
Mwili wa marehemu ukiwa ndani ya sanduku tayari kwa kusafirishwa Mkamba huku wakijiandaa kuuswalia |
![]() |
Mwili wa marehemu ukiwa ndani ya sanduku tayari kwa kusafirishwa Mkamba huku wakijiandaa kuuswalia |
![]() |
baadhi ya wasanii wa Jahazi waliohudhuria kwenye msiba |
Mtangazaji wa Kipindi cha Taarab cha Tam Tam za Mwambao cha east africa Radio na EATV Mwanne Othman akimuhoji mpiga kinanda namba moja wa Jahazi Chid Boy
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine