Kwa mujibu wa Kais Mussa Kais ambaye ndiye aliyekuwa Mume wa Marehem NYAWANA alisema kuwa arobaini hiyo ameamua kuifanya yeye kama yeye kwasababu wazazi wake Nyawana tayari walishamfanyia kisomo hicho cha arobaini mnamo tarehe 16.
Kaisi aliomba wadau wa Taarab kutoa ushirikiano kujitokeza kwa wingi katika kufanikisha kisomo hicho cha marehemu mkewe NYAWANA ISSALE FUNDIKIRA
INNALILLAH WAINNA ILAIHI RAAJIUN
![]() |
MAREHEMU NYAWANA ENZI ZA UHAI WAKE |
MUME WA MAREHEMU NYAWANA BW.. KAIS MUSA KAIS AKIHOJIWA NA MTANGAZAJI WA EATV NA EAST AFRICA RADIO MWANNE OTHMAN
![]() |
MWILI WA MAREHEMU NYAWANA UKIWA NDANI YAN SANDUKU LA KUSAFIRISHIA MAITI, AMBAPO ALIZIKWA MKOANI KWAO TABORA |
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine