Tamko hilo limetokana na jana wazee hao kutoa kauli ya kuitisha kikao siku ya pili baada ya mechi ya Simba na Yanga iliyomalizika kwa Yanga kufungwa mabao bao 3-1 ambapo miongoni mwa mabao hayo mija Juma Kaseja ambaye ndiye aliyekuwa mlinda mlango kujifunga mwenyewe.
hivyo wakati wazee hao wakijipanga kutoa kutoa kauli ndipo Uongozi wa Yanga walipoibuka na kusema maneno hayo.
![]() |
Juma Kaseja akiwa mazoezini |
![]() |
Kaseja akisaini mkataba wa kuitumikia Timu ya Yanga |
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine