akizungumza na Kipindi cha Tam Tam za Mwambao kinachotangazwa na Mwanne Othman kuopitia east Africa Radio alisema anawashaangaa watu wanaodhani kuwa yeye ameshawishiwa na ndugu zake kutoka kwenye ndoa yake baada ya Mumewe bwana Ramadhan kumkataza kuimba, kitu ambacho ni halmashauri ya kichwa chake ndiyomiliamua bora aendelee kuimba kuliko kumsikiliza mumewe kumkataza kuimba.
Saida alisema kuwa kuimba iko katika damu yake na anaridhika kuona akiwa stejini akifanya vitu vyake huku akisisituiza hata kama hakuna kitu akipatacho lakini nafsi yake inaridhika kuimba./
"Sitaki kuimbi eti kwasababu mpaka nikijia hapana nataka kuimba kila siku za maisha yangu na ndoa maana nikaamua kurudi kwetu ili niendelee na kazi yangu" alisema Saida wakati akijibu swali ya kwamba kwakuwa bendi ya nyumban si ungemsikiliza mumeo tu anavyotaka, na iwapo siku ukiwa na hamu ya kuimban unaweza kwenda kuimba kwa sababu ni bendi mama.
Pia Saida alisisitiza kuwa kwamba wale wote wanaojitia kimbelembele kufatilia mambo yake kuizungumzia ndoa yake haijakaa hata miezi minne kwamba waache kwani hakuna yeyote aliyechangia mchango na wale wanaojifanya kwamba wanamjua sana pia waache kwasababu hakuna anayemjua zaidi ya mama mzazi Bi Rukia Jumaa.
![]() | ||||||||||
Saida akiwa stejini akifanya vitu vyake |
![]() | |
Saida siku aliyovalishwa pete ya uchumba aliyekuwa mumewe bwana Rama |
Saida siku ya Kitchen Party yake |
![]() | |
Saida siku ya singo party yake |
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine