Na Mwanne Othman:
Baada ya kumaliza mwaka 2013 bila Kutoa albam mpya Mkurugenzi wa Jahazi Morden Taarab afunguka kuhusiana na mustakabali wa bendi hiyo kwa mwaka 2014.
Jahazi Morden Taarab ambao inasemekana watarajia kutambulisho nyimbo zao tatu mpya kwa albamu mpya mwaka wa 2014 imekuwa na kawaida ya kila mwaka mnamo mwezi wa 10, huwa wakitoa albam mpya ikiambatana na Uzinduzi lakini imekuwa Tofauti kwa mwaka jana ambapo yalizuka maneno ya hapa na pale kwamba Jahazi imefulia.
Hivyo Jumapili hii ya January 26 mwaka 2014, kupitia Kipindi cha Taarab cha Tam Tam za Mwambao kinachoendeshwa na Mwanne Othman aka Toto la Matashtit East Africa Radio kila Jumapili kuanzia saa 4 asb hadi saa 6 mchana utaweza kumsikia akifunguka kuhusiana na Mustakabali wa bendi hiyo.
USIKOSEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine