Maeneo mengine jijini Dar yaathirika
Na Mwanne Othman
Wakazi jijini Dar es
Salaam wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya Magongwa ya Milipuko na
kuacha tabia ya utapishaji wa vyoo ambao baadhi ya wakazi hufanya
kitendo hicho hususan katika nyakati za Mvua. Mratibu wa magonjwa ya
Milipuko katika Manispaa ya bwana Michael Gweba ameiambia Ea Drive,
tumsikilize.
Akizungumzia juu ya
wafanyabiashara wanaouza bidhaa zao katika mazingira yasiyo salama
Kiafya ndugu Bwega alisema.
Kadhalika Tulizungumza na
wakazi wa eneo la Jangwani ambao miongoni mwa wahanga wa mafuriko
yaliyotokea usiku wa jana kuamkia leo, na hapa wanazungumzia hali
halisi iliyokumba.
Mwa4othman.blogspot.com
pia ilizungumza na Msemaji wa Manispaa ya Kinondoni ndugu Sebastian
Buhohela ambaye nae kwa upande wake alisema ukarabati wa Miundo mbinu
unaoendelea pia huchangia kwa kiasi kikubwa mafuriko kutokana na
kufumuliwa kwa njia za kupitishia maji., Tumsikilize
Picha za mbalimbali ya maeneo yaliyoathirika kwa mvua
![]() |
mtangazaji wa east africa radio Mwanne Othman |
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine