Na Mwanne Othman
Jeshi
la Polisi limamshikilia ndugu Godfrey Mjaka mwenye umri wa miaka 49,
mkazi wa Mtoni Kijichi fundi Umeme wa kujitegemea kwa kosa la utapeli
ambapo alifika katika nyumba moja iliyopo maeneo ya Mlimani City
akidai ni mfanyakazi wa Tanesco akimtuhumu mwenye nyumba hiyo
amejiunganishia umeme kiholela.
Akizungumza
na East Africa Drive Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa
Kinondoni Kimola Ernest alisema mtuhumiwa huyo alikuwa na wenzake
watatu ambapo baada ya kugundulika si wafanyakazi wa Tanesco ndipo
wenzake walifanikiwa kukimbia.
Mtazame katika picha tofauti mtuhumiwa huyo
huyu wa kwanzaa mnene mweusi. tena ana rava 4 ya silver
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine