
Picha
ya Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) ikiwa pembeni ya Jeneza lake
mchana wa leo wakati wa kuagwa kwa mwili wake,kwenye viwanja vya Leaders
Club,Jijini Dar es Salaam.



Baadhi
ya Wacheza filamu hapa nchini,wakiwa pembeni ya Jeneza la Mpendwa wao
Sheila Leo Haule (Rachel) aliefikwa na umauti hivi karibuni.

Sehemu ya Waombolezaji wakiwani ni wenye Majonzi Makubwa ya kuongokewa na mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel).

Bw. Saguda ambaye ndie alikuwa mchumba wa Marehemu akilia kwa uchungu huku akiliwazwa na nduguye.

Mwenyekiti wa Bongo Movie,Steven Nyerere akilia kwa uchungu.

Zamaradi Mketema wa TakeOne ya Clouds TV alikuwa ni mmoja wa waombolezaji kwenye msiba huo.






Sehemu
ya wacheza filamu wa Bongo Movie wakilia kwa uchuku kwa kuondokewa na
Mwenzao,Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) wakati wa shughuli ya kuaga
mwili wake iliyofanyika mchana wa leo kwenye viwanja vya Leaders
Club,Jijini Dar es Salaam.



Waombolezaji.
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine