MAJARIBIO BLOG

Friday, June 27, 2014

ISHA MASHAUZI AINGIA UKUMBININ AKIWA KWENYE TENGA TAZAMA PICHA HAPA

ALIBEBWA NA WACHEZA SHOO WAKE,
ISHA MASHAUZI AKIWA NDANI YA TENGA

HAPA MA DANCERS WAKE WAKILA MAEMBE YALIYOKUWA KWENYE TENDA HILO


ISHA MASHAUZI AKIWA AMEJITUPA CHINI BAADA YA KUTOLEWA KWENYE TENGA

ISHA AKIIMBA MAPENZI HAYA DHAMAN

AKIKAMUA

HAPA KITAMBAA KILICHOANDIKWA ASIYEKUJUA HAKUTHAMINI KIKIONESHWA JUU NA PR WA FOREPLAN CLINIC


ILIKUWA PAMBE KWELI KWELIIIIII PICHA ZOTE NA MWANNE OTHMAN KUPITIA CM YAKE YA MKONONI

No comments:

Post a Comment

Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine