Na Mwanne Othman
24/4/2014
TUME
ya Taifa ya kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) imeandaa Mkakati
unaobainisha Vipaumbele vya mwitikio wa udhibiti Ukimwi nchini kwa
mwaka 2014 / 2015 hadi 2018 ukiwa na Azma ya kufikia Dira ya Kitaifa
na Kimataifa ya Sifuri Tatu.
Akitoa
ufafanuzi juu Sifuri tatu Mkurugenzi wa Takwimu TACAIDS Dr. Raphael
Kalinga Kalinda amesema ni kutokuwa na Maambukizi Mapya, Vifo
vitokanavyo na Ukimwi na Unyanyapaa na Ubaguzi.
Akianisha
baadhi ya maeneo 11 ya Vipaumbele hivyo vya mwitikio wa udhibiti wa
Ukimwi nchini katika maeneo muhimu ya uwekezaji wa Msingi na Saidizi
amesema.
No comments:
Post a Comment
Tafadhali Ndugu Msomaji Zingatia Kutumia Maneno mazuri na ya busara kwa Faida ya Wasomaji Wengine