![]() |
Marehemu Jafari Ally enzi za uhai wa wake akiwa na mkewe Khadija Kopa siku ya ndoa yao. |
Idd Majid aliwataka ndugu, jamaa na marafiki wa karibu wakiwemo wadau mbalimbali wa taarab kuhudhuria katika arobaini hiyo ili kufanikisha shuhuli nzima ya kulisha.
Marehemu Jafari Ally alifariki dunia mnamo mwishoni mwa mwezi wa tano na akisumbuliwa na maradhi ya malaria na alizikwa katika makaburi yaliyopo Magomeni wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani, huku akimuacha Mkewe Kipenzi Khadija Kopa kwenye EDA, akiwa katika wakati Mgumu wa kumkosa mumewe kipenzi.
pole bi khadija utazoea tu pole sana
ReplyDeletemuda ni saa ngapi maana ukizangatia huu ni mwezi mtukufu wa ramadhani
Delete